Ni aje meshers.Nataka kuweka buzz ya kinyozi naeza pata mzee anijenge na advise vile mfanyi kazi analipwa na capital nahitaji ngapi.