Ni biashara gani ulianza na ikakupea hasara mbaya mbaka ukajidharau. Mimi nilinunua water melon nikakata ndo mzima nikazunguka siku mzima nikawa nimeuza only 20 bob. Ilibidi nikae chini nikule mwenyewe kiasi.
0