Ni dye gani poa ya black yenye haikati nywele...na ni doo ngapi...nadai ya kupaka dreadz...pia mniambie dawa ya skin tags yenye haina effects