Ni end month wadau , sales za hii month zimekupeleka aje ? Have you made losses or profits ama hata hujui progress ya biz yako? Let's share kwa comments section