
Ni @[Gabriel Shitemi] hapa. Mimi ukuwa stude pale UoN second year saa hizi. Passion yangu ni drawing, and nimekuwa na hustle nayo ku raise chedax za ku survive shule. Nili learn story na Shujaaz Biz way back before the units zikuje hapa MESH.
Hii knowledge imeni help saana kuweza ku hustle juu over the holidays mimi usaidiana na @[ Kivaya] kwa hustle kadhaa including support mwenda ya gigs za freelancing from DJ B. Kwangu hustling ni lazima juu sadly sinaga paro. Nashukuru saana Shujaaz na MESH team
Kama kuna msee anadai portrait nichapie inbox @[Gabriel Shitemi]
0
0
0