Ni gadget gani ulisema utanunua, na hadi leo bado ni wallpaper? Be honest ni speaker, tripod ama ring light? Ama ni ile laptop ya ‘side hustle’? Drop your answers, tujicheke pamoja😂