Ni juzi tu April nilikuwa na sales za over 160k, that means orders zilikuwa mob na ilibidi niwekee doh mob. Nika amua ku add hadi staff ndio tuunde wardrobe na meza mob. Nili wafunza in 2 day's joinery na wakaunda staf poa, mimi nikatoka ku-focus na logistics coz lazma zilale Nai from Thika, plus packaging standard ya Fargo, meaning kufunga na carton na shrink wrap.
After first week, yoooh... Waliunda vituko na returns zikakam for first time since Dec, 50k sale's zikakunywa maji.
I felt like going mad, rent was deu na loans pia. ile pesa kidogo ilibidi nilipe madeni za investors coz Order zilikuwa stopped. Sahii am rebuilding slowly, though game ni ku-survive ndio niweze.
I almost thought of suicide but nikaji-show, no ond has ever made in the grave. Ndio still najituma.
You can buy this wardrobes at a discounted price to make room for me to start again. Bei ni 3,500 only. 0724899116
