
Ni mm na mtu wangu apo ..tumego through alot but tunaamini life nikubambana ..lakini kama mwanaume Niko na stress hustle imekua Noma n mtu wangu ako pregnant seven months sijui naeza du nn kumtake care na mtoi anakam nimejaribu bizi but covid imearibu wanamesh naomba help nidu nini
0
0
0