
🔥Ni muhimu kukuwa na website ya biz 🔥💪
💡Saa hii online presence ya biz yako ni muhimu sana💯, unaeza kuwa na social media accounts ama ukuwe na online shop kwa platform kama Shopify, jumia ama Facebook, but sometimes msee u_prefer kukuwa na website ya biz yake Solo yenye anaeza control na pia kushare na besty,
💡Kukuwa na website ya biz yako ikona benefits kadhaa , clients Wanaeza kupata virahisi na pia ukiwa na traffic mob unaeza ongeza ads ukuwe unalipwa na platforms kama google, but sometimes developers ucharge dooh mob adii unakuwa discouraged 💔
💡But worry no more saa hii kuna platforms Mingi sana unaeza soma web development for free online na u_design website ya biz yako solo bila kuspend dooh mob kwa developers💪
💡Web development ni one of the simplest course unaeza fanya online na pia unaeza offer hizo skills as a service kwa wasee wengine na umake dooh extra kwa cash flow yako👏
Hizi ni some of platforms unaeza consider kulearn hizi skills online:
https://www.w3schools.com/
https://www.sololearn.com/
Feel free kushare experience yako na online courses hapo kwa comment section 💪💯
