
Ni nini hufanya painting ionekane poa?
For me naeza sema like painting, inaweza tengenezwa poa kulingana na hizi vitu tatu: 1. Technique imetumika, 2. Observations 3. Na pia Design.
Hizi vitu ni learnable kila msee anaweza put into practice kubring out best paint art work. 💯
Incase kuna article unadai nipitie just drop hiyo suggestion hapo kwa comments na nitakupostia next.
#tujijengeMesh.

0
0
0