
NI NINI UFANYA IDEA YAKO IKUWE VIABLE?
Kupata boundless supply ya ideas is one of the greatest tool. But una need ku make sure hio idea ni workable and iko viable. Kama idea haiko researched vifiti kabla i'turn to biz basi iko bound to end in failure. So ni nini ufanya idea ikuwe viable?
š” Originality; wasee wengi wenye wamekuwa successful ujaribu ideas zenye hazijawahi fanyika before and pia wanachange watu perceptions kutokana na existing options. š” Kutafuta niche; Hii nayo ni kutu target a specific market na idea yako and unaji devote ku crack instead ya kutaka kufarahisha kila msee. š” Intuition; Hapa ni ile design wewe ujiuliza, hii idea inafeel right? Then sasa inakupea strong purpose and pia vision. š” Specilists; hapa ni ie lugha ya almost close to niche but unakuwa ume specialise na product moja ama one field.
Share pia kwa comment section ndio kama kawa #Tujijenge. #SisiNiMesh #Creative #JengwaNaMesh
