
Ni poa kufanya S.W.O.T analysis. Strengths.Weaknesses. Opportunities.Threats.Strengths na Weaknesses ni internal factors(vitu ziko within your control).Opportunities na Threats ni external factors(vitu ziko out of your control).E.g Strength ni uko na idea kali lakini weakness ni hauna capital.Opportunity ni kuendea loan bank but Threat ni ati ni hard kupata loan bank ukiwa hauna existing biz ama security ya loan.So opportunity hapa ni kuomba dooh mabeshte na family members. Strength yako ni gani? Weakness yako ni gani?Opportunities gani ziko apa nje? Ni threats gani unaface apa nje?
0
0
0