
🆕 Ni possible ku-make #Doh na smartphone?! 🤔 Pale online tumecheki idea kadhaa za ku-make doh ukitumia phone na internet kiasi. A few examples ni;
- Blogging/Vlogging; Kama uko na smartphone fiti, unaeza anzisha blog ama YouTube channel ya ku-share content itabamba wasee, with time unaeza get doh through advertisement na views kwa platform yako 📲 -Online games zinalipa siku hizi; For such opportunities cheki websites kama PaidGamePlayer ama Mistplay, kama umeiva gamming hii ni opportunity poa sana. 🎮 -Photography; Kama umeiva story ya kupiga photo's, phone photography imekua accepted sana siku hizi, inaeza ku-sort sana. You can make extra money hapa. 📸 Paid surveys; Did you know, unaeza lipwa kujaza surveys? Hii ni idea fiti ya ku-make doh pia. tafuta site inaitwa "Swagbucks" for such opportunities. 📝
That's it for now! Tumehata gani?! Share ideas zako kwa #Comments 💯
#SisiNiMESH #MESH4Life
0
0
0