
NI PROFIT, PATIENT AMA PASSION? (3 P's)
Nimeona kuna so many profile hapa mesh ziko na "Kuanza Biz" tag under hustle. So sisi wenye tayari tumekuwa kwa biz tujengane. Ni vigezo gani tuli observe time ya kuanza biz zetu? Je ilikuwa Shauku; Passion ama ni Faida; Profit mwanzo?. Moja kati yake inaeza kuwa inasound kama strong point but from experience ni hidden source ya stress kwa biz. Nimekuwa hands on any hustle kind person, tried so many different biz, and zenye zimestand hadi saa hizi nili zingatia..... Oya join Biz 101 kwanza!!! 🤣
Yes, Passion, inaeza kuwa somewhat tricky juu saa ingine inaeza kufanya u start biz bila clear idea ya clients wenye uta serve na vile ya kukupea do from it, like sasa my Music Studio biz ðŸ˜ðŸ˜, juu honestly passion inaeza kufanya u work for free or for "exposure" kitu yenye niko na experience from. And pia Passion inaeza kukuondokea the moment challenges zinatokea.
Profit nayo ni one aspect am sure kila msee u start biz akiwa nayo in mind, otherwise hauwezi taka ku invest time kwa kitu yenye haileti doo, challenge ya hii nayo nikujipata unhappy pursuing biz yenye hauna passion nayo. Hii ilikuwa inatokea kwa biz flani being doing ya distribution, kila evening was feeling drained unhappy and unsatisfied.
Kwa views and experience yangu, uki'manange ku balance the two and u add Patient, success kwa biz itakuwa inevitable, hii ni views and experience yangu, so ebu we share zetu kwa comment section ndio pia tuweze kusaidiana rather, #KUJENGANA
Great Sale Day, Great Week.
#MondayTalks #Tujinge #Biz101