Ni season ya Maembe, unapenda maembe gani? Apple mango ama zile ndogo? Mimi am for any Bora imeiva vizuri 😁
Na by the way mnauziwa pesa ngapi mtaani!?