
Ni Season ya Waru, Mbaazi na Minji, Kitchen Masters wa Mukimo, it's your time to shine.
As promised, here is how Cooking Oil Prices kwa hood yangu zimestand;
🧴 Kapima 1L 260/= 🧴 Ufuta Pure 294/= 🧴 Bahari Fry 294/= 🧴 Golden Fry 299/= 🧴 Pika Oil 337/= 🧴 Dola Oil 346/= 🧴 Avena Oil 350/= 🧴 Cabola Oil 366/= 🧴 Kimbo Premium 374/= 🧴 SunGold Sunflower Seed 399/= 🧴 Rinsun Oil 399/=
Kwa shelves za akina Kentaste, Olive, Terra Delyssa, Pietro, La Pedriza na hizo zingine mimi sikutaka kujaribu kujipea pressure. Kama uko na Dollar nitume nex week. Note some ziko na offer.
So your favorite nigani and ni mangapi?

0
0
0