
Ni sehemu gani humu nchini (Kenya) hawaja-witness hii migration ya white butterflies🦋? Ziko mob huku na local farmers wana-predict njaa/ukame. Wengine wanasema ni dalili ya season of plenty. What do Meshers think? Are they a bad omen? Should we brace ourselves for tough times ahead?

0
0
0