
Ni that time of the week again, Another Challenge on MESH coming up on Furahi Day!
Challenge Title: Show Us Your Hustle Style!
Challenge Description: Ukipiga hustle yako, style yako ni gani?🤔 Leo tunadai u-share a pic of your typical workday outfit! Whether ni official, casual, or apron ya kitchen — tunataka kuiona! 📸
Ukiendaga job ni utfit gani wewe huvaa???For example, hapa kwa poster kuna MESHer huuza smokie na work outfit yake ni apron😀
Winners: Top 5 wata-get 700 bob, 6-10 wata-get 100 bob na 11-20 wata-get 50bob!!
Prepare those pics, Friday inafika for you to post😉

0
0
0