
Ni Thursday na kama kawaida tuko ndani ya #MESHMentors!! 🔥 Form ni Change makers mtaani!! Leo tunabonga na @[Harriet Sammantha] @[Peter Waithaka] @[Jared Monari] wanatujenga 💪🏿 venye wana-mentor wasee kwa community. Tune in LIVE at 2pm, watakua na @[Captain Ashok] wakitupea tips na experiences zao.
0
0
0