
Ni Thursday na kama kawaida tutakua live ndani ya #MESHKonnect 💯 from 2pm sharp ⏰ na #MESHers wawili wa nguvu @[Rose Koros] na @[Tonny Fiddel] watatuchapia journey zao za #Biz Challenges wamepitia na plans zao in the near future 🔥🔥 Host wetu kama kawaida atakua @[Captain Ashok] 💪💪. Tune in, share ideas, ask questions!! Form ni kujijenga 🙌 #MESHKonnect #Biz101
0
0
0