
Ni Thursday na kama kawaida tutakua live ndani ya show yetu ya #MESHMentors 2pm Sharp! ⏰ @[Violet Auma] atatuchapia juu ya biz yake ya botique 👠👜 na specifically vile;
-Alianza hii Biz . -Aliget capital ya kujenga Biz. 💰💰 -Challenges amepitia so far. -Possible solutions za Biz.
Make sure ume-tune in!! In the meantime share maswali zako kwa comments. Host wetu, kama kawaida; @[Captain Ashok] 💯
Tell a MESHer to tell a MESHer!!
0
0
0