
Ni Thursday na kama kawaida tutakua ndani ya #MESHKonnect💯 2pm sharp kama kawaida ⏰ This week tuko na MESHer wa nguvu @Janet Akinyi anafanya #hustle ya #Salon. Atatuchapia story yake, vile alianza #Biz na lessons zake zote so far! 🙌🏿 Imagine alichukua loans kadhaa kujenga #Biz na sahii bado #Biz yake imesimama! Ungependa kuuliza Janet swali gani kuhusu hii biz? 🤔
#MESHKonnect #BizLoans #SalonBusiness
0
0
0