
Ni Thursday na kama kawaida tutakua ndani ya #MESHKonnect 2pm sharp. ⏰ This week tuko na MESHers waliamua kufanya #Biz ya Pig farming @[Jesse Wekesa] na @Godfrey Kimathi watatuchapia story zao, vile walianza na lessons wamelearn so far! Farming iko na doh poa sana ukiwa na the right tools and the right attitude. 💯 What more would like to know about farming? Tuchapie kwa comments. 👇👇 #Agriculture #PigFarming #MESHKonnect
0
0
0