🙌Niaje! 2024 ni year ya kujituma tena vile inafaa, hakuna ku-stop!!
Tuchapie, from everything uli-learn kwa sessions za Jenga Na Deloitte 2023,
🤔Ume-plan ku-apply nini kwanza kwa biz ama hustle yako?