niaje chairmen, nilichukua early retirement from KDF nikafungua base ya PS na Cyber na hii ni hustle inadai pesa pumpied in it. nasaka job ya security/ intelligence (niko na record safi wazimu btw) itanipea doh fiti niweze kuGrow hustle yangu ya side
0
0
0