
Niaje comrades,kuna story huko twitter (X) ya venye wasee wanalipwa kulingana na engagements that's kama uko verified. Mnaoba aje hiyo story na kama ina-create job opportunities for youth by just tweeting . Ebu nishow hapa kwa comments maoni yenu



0
0
0