
Niaje comrades,nadhani mmeskia hiyo story ya huyo stude wa TUM engineering department mwenye alijiset nari?Alikuwa akilalamika maisha imekuwa ngumu .Wewe kama comrade kuna venye maisha ishawahi kuchapa na ni vipi uliweza ku overcome na tena ni hustle gani unaweza piga atleast uweze kuskuma life ukiwa chuo? Tuchapiane hapa kwa comments
0
0
0