
Niaje comrades, naelewa ni kutough kwa ground, doh za mkoro haziezi clear bills zote, however in the process of you guys looking for extra cash by doing biz, mjichunge msioshwe na online links, no pain no gain, heri ufanye biz ya kuunda liquid soap ukiuza than kuambiwa leta pesa we help you multiply then uoshwe, tujichunge wadau. Happy New Month.
0
0
0