
Niaje comrades, nimekaa hivi nikakumbuka hata hii wakati wa demostrations ,for those two to three weeks kulikuwa na chance ya kumake pesa .You only needed to take the sitution to your advantange ,sell those manilla papers,fountain papers ,bottled water ,those ''badanas'' and printing those black T-shirts ! This is the case of when life gives you lemons you make lemonade and enjoy it ! Meshers have you thought about it ? kuna another biz comrades agechapa hiyo time ,ebu tuchanuane hapa kwa comments
0
0
0