Niaje #eneza #Mesh. Honestly Kuna wasee tumejipata kwa situation noma sana..tumelipa loan expecting higher amounts tubuy stock na sai tuko gizani...fanyeni kitu