
🙌Niaje fam! Hope mko fiti!
💪Jenga Na Deloitte mentorship program imerudi tena!
1st mentorship session iko 7th July 2023. Time ni 2pm to 3pm, ONLINE! Topic ni about kujenga business plan inawork.
😊Mentors ni Cinday na June.
Kama unaplan kuanza biz ama una-run biz yako, Usikose hii!
🗣️ Uliza maswali kwa comments.
👇Download Zoom mapema, link ya session ni hii hapa: https://deloitte.zoom.us/j/...

0
0
0