
Niaje Fam! Hope wiki imekua fiti.
Tunaanza next week strong, alafu kuna session online on Friday, 21/07/2023.
Topic ni kuhusu vile unaweza gain na ku-capitalize on online opportunities na story ya digitization.
Please feel free kuuliza mentors maswali kwa comments.
0
0
0