
Niaje fam..nataka usaidizi kiasi ya advice.Last year nlipatanga job ya house management kwa lounge flani bt wera ikaisha around March 2022, ju nlikua nafanya ka casual worker,kutoka hapo sjamanage kuget job ingine..Nimekua nikijaribu kulearn mambo na web design na data entry bt kuna kale kadoubt ka kusoma online itahelp kuget job kwa Kenyan market? Ju kuchujwa job ilifanya nikaogopa story za kuajiriwa so nlikua na target self employment. Kindly ka kuna mtu ako into web design ama data entry naeza like advice kidogo ya how to go about it,in terms of kupata maclients,or where to get valid mentors n educative materials.
0
0
0