
🙌 Niaje Fam! Session 2 ya Jenga Na Deloitte ina-happen this Friday 21st, from 2pm to 3pm!
💪 Topic ni about vile unaweza ku-build, ku-secure na ku-capitalize on opportunities online!
😊 Mentor anaitwa Felix.
Unaweza make doh aje online?
Tuchapiane kwa comments, feel free kuuliza maswali.
👇Download Zoom mapema, link ya session ni hii hapa: https://deloitte.zoom.us/j/...

0
0
0