Niaje Fellow MESHers, hope oMnday imekua poa. Nilikua nadai kurequest wasee wanasaka job kwa MESH community wajaribu atleast kusema wera gani msee anasaka na qualifications. That way itakua easy kwa mwenye anatafta msee wa kuemploy
0