Niaje fellow Meshers, skuizi nimeona alot of people wanaclaim kuimport mali from China ni cheap. Incase mtu anataka kujua the know how ndio awe akipata mali huko, anafanya aje na awe na dooh kama ngapi? Meshers wenye experience tuchanueni na hii story tafadhali.
0
0
0