
🙌Niaje, hope mko fiti!
Big up sana wasee wote walitokea jana session ya Personal Branding.
đź’ŞJenga Na Deloitte sessions zimekua aje?
Kuna class ulikosa na unadai updates zikam?
Tunadai feedback yako kuhusu sessions zote ume-attend so far.
Tuchapie kwa comments.
0
0
0