
🙌Niaje, hope mko fiti!
💪Jenga Na Deloitte mentorship session iko this week!
💪 Willy ata-cover topic ya Insurance!
Session itakua online on Friday, 31st March, from 2pm to 3pm.
Tutatumia hii Link: https://deloitte.zoom.us/j/...
Password: 339108
🤔Ungependa kujua nini kuhusu Insurance?
👇Funguka! Uliza maswali kwa comments!

0
0
0