
🙌Niaje! Hope mko fiti.
Kujua ku-manage Cashflow ni muhimu sana kama uko na biz.
On Friday, Gabriel ata-share ideas na vitu unafaa kufanya ndio cashflow yako ikue fiti, ku-track doh zako, ku-get na ku-manage loans, ndio uweze ku-grow!
đź’ŞSession iko online, at 2pm.
👉Share link na mabeshte: https://deloitte.zoom.us/j/...

0
0
0