
🙌Niaje! Hope mko fiti.
💪This week on Jenga Na Deloitte, Mercy atatushow Effective Strategies Za Ku-boost Sales zako.
Don't miss out! Session iko Friday, September 1st, at 2pm Online.
💪Share na mabeshte pia. Form ni kujengana.
👉Join via Zoom na hii link: https://deloitte.zoom.us/j/...

0
0
0