
Niaje! Hope mko fiti! Tutabonga about taxes kwa biz this Friday!
Kuna kitu huja-understand about taxes? Ama uko na questions about taxes, and tax requirements for small businesses?
💪Tutakua na tax experts kadhaa kwa session ya Jenga Na Deloitte na watajibu maswali zote!
Come through at 2pm, online! Invite friends wawili au watatu pia tujengane!
👉Share link na mabeshte: https://deloitte.zoom.us/j/...

0
0
0