
🙌Niaje! Hope mko fiti.
Una-get chapaa but huja-master kuzi-maintain, ku-track,ama kujua vile zinatumika?
On Friday, George atatuchapia vile unafaa ku-manage cash-flow yako.
đź’ŞSession iko online, at 2pm. Form ni kujengana.
👉Share link na mabeshte: https://deloitte.zoom.us/j/...

0
0
0