
🙌Niaje, hope wiki imeanza fiti!
đź’ŞJenga Na Deloitte mentorship!
đź’Ş Eve ata-cover Government Regulations!
🤔Ungependa kujua vile unaweza fanya mambo ikue rahisi uki-deal na gava?
Next session itakua online on Friday, 3rd March, from 3pm to 4pm.
Tutatumia hii Link: https://deloitte.zoom.us/j/...
Password: 339108Â
👇Uliza maswali kwa comments!

0
0
0