🤔Niaje, huwa mnaweka savings zenu wapi na gani ina offer the best returns overall?
1)Kwa Bank
2)Kwa Saccos
Group Chamas
Sijaanza ku-save