Niaje..I am a seasoned chef nimefanya job Qatar na states nikarudi nikapata job poa but covid ulifanyia tusmamishwe nadai kufungua tu a small restaurant