
Niaje! Jana tulikua na live online conversation with MESHERS about AI.
Discussion ilikua fiti sana about is AI a threat to some businesses ama ni opportunity?
Session ilikua collabo ya MESH and Microsoft, who also have Copilot AI (ni tool fiti sana - icheki ma-time zake).
From the discussion, MESHERS wanasema AI haiwezi kureplace watu. Ita-replace tasks.
In future, the most valuable skills hazitakua za tech pekee, human skills and soft skills like communication, na critical thinking ni important.
Opportunity iko if you know how to balance and use the two, human skills and AI.
AI haiezi fanya kazi yote tbh.
Ni biz/hustle gani una-feel AI haiwezi fanya?
Weka maoni yako kwa comments.

0
0
0