Niaje, kuna mesher anaeza kuwa na idea story ya ku-import mbegu kutoka majuu, preferably Europe, vile huendanga?
Na by the way, inaruhusiwa ama ni ngori?