Niaje ma-mesh! Nadai kuanza biz ya charcoal (makaa) na sina uzoefu nayo. Sasa sijui nta-run aje. Ebu mni-show naeza Anza aje hii biz na pia gunia hukua na gorogoro ngapi? Na naeza do aje i-pick?