
NIAJE MACHAMPE. NIJENGWE NA ADVICE KUHUSU HIZI TIPS KALI KALI ZA SOCIAL MEDIA MARKETING.
-
Differentiate kwanza, kama wewe utakuwa una'promote products zako ama uta'promote za msee mwingine(affiliate marketing).
-
The most important thing ni kuwa na a digital mobile phone, but since you are all here, I bet mmebarikiwa na at least one.
-
Ukishajua ile product una'promote, make sure you identify, customers wako ni wagani. Example, customers wa nguo, wata'depend na the type of nguo unauza. Kama ni suits na other officials, your target market, is most likely wasee wanadunga job kwa offe'. Kama ni nguo label, versace, supreme, e.t.c, most likely customers wako ni vijana wenye wako chuo.
-
Ukishajua your target🎯 customer, chunguza wanapatikana social media platform gani. Examples za available social medias unaweza wapata ni kama facebook, whatsapp, youtube, instagram, likee, tiktok(my wife's favourite). Kama kunayo nimesahau, mnaeza ongeza kwa comments.
-
Register an account kwa hiyo platform ume'identify kama hauna. Kama uko nayo anza kuwa creative na their different tools. Example tiktok ni ya videos, and kucreate hizi videos is very easy sababu wanakupea option ya ku'combine photos into a video.
-
Be active as you learn more about your customers desires , wants and needs. Don't be afraid to be flexible ama kuulizwa price na mtu hanunui.
-
Educate your customer, don't just sell to them, educate them. Example na hustle ya nguo, wafunze kuhusu different body types na vile wanaeza tokelezea wakiwa confident. Madame different hair styles na make up na vile zinapelekana na different outfits.
-
Bottom line. Social media, ni soko ingine tu kama marikiti, soko mjinga e.t.c. and since you are using it everyday, make sure you make some money while at it. Sell something, anything. Good luck🤞.
#socialmediamarketing #instagram #tiktok #mesh #shujaaz #moneyideas #povertyistheenemy #djboyie