
Niaje Macuzo,
Just checking in!!! June hukua Men's Mental health Month! Unajua ile saying ya “man up”? Ebu tuibadilishe kidogo ikue “speak up!”
You can be strong and still need help. Unaeza kuwa mjamaa hard lakini deep down uko lowkey breaking. Na guess what? It’s okay not to be okay.
👊🏿 Mental health ni kama mwili—inafaa movement, care na rest.
🔁 Tag bro yako, muulize “uko aje bana?” Ama drop emoji moja if ume-take care of mental health yako hivi majuzi 😎

0
0
0